1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipindi cha Michezo 02.07.2018

Bruce Amani
2 Julai 2018

Kombe la Dunia bila ya Messi na Ronaldo, je, Neymar ataendelea kuibeba Brazil? // Ubelgiji kushuka dimbani dhidi ya Japan ambayo inatafuta kutinga katika robo fainali kwa mara ya kwanza // Na pia tutatupia jicho michuano ya Kombe la CECAFA Kagame linaloendelea Tanzania

https://p.dw.com/p/30gsF