1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipimo cha adhabu kwa mtoto

Grace Kabogo
12 Oktoba 2021

Mtoto anapokosea mara nyingi huadhibiwa, lakini ni adhabu gani inafaa apewe mtoto? Na nini kiwe kipimo cha adhabu kwa mtoto? Tazama video fupi iliyoandaliwa na mwandishi wetu Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/41ZSh