1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipi kinachochea ushindi wa vyama vya kihafidhina Ulaya?

Rashid Chilumba26 Septemba 2022

Viongozi wa mataifa kadhaa barani Ulaya hii leo wameirai Italia kuendeleza mshikamano wa Ulaya hata baada ya vyama vya siasa za mrengo wa kulia kunyakua ushindi katika uchaguzi uliofanyika. Matokeo hayo yamepokelewa kwa tahadhari kubwa kote barani Ulaya. Kwanini? Sikiliza mahojiano kati ya Rashid Chilumba na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini London.

https://p.dw.com/p/4HN6j