KINSHASA:Makubaliano ya kusimamisha vita yafikiwa | Habari za Ulimwengu | DW | 07.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KINSHASA:Makubaliano ya kusimamisha vita yafikiwa

Umoja wa mataifa umesema kwamba umefanikisha makubaliano ya kusimamisha mapigano kati ya vikosi vya serikali na kikosi kinachomtii jenerali muasi Laurent Nkunda.

Makubaliano hayo yamepatikana kufuatia mapigano ya zaidi wiki moja yaliyozuka huko mashariki mwa Kongo.

Makubaliano hayo ya kusimamisha mapigano yalifikiwa katika mji wa mashariki ya Kongo wa Sake.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com