KINSHASA: Homa ya Ebola Kongo yaua zaidi ya 160 | Habari za Ulimwengu | DW | 12.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KINSHASA: Homa ya Ebola Kongo yaua zaidi ya 160

Miji miwili kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imewekwa karantini ili kuzuia kuambukiza homa ya Ebola ambayo haina matibabu.Kwa mujibu wa maafisa wa afya,katika kipindi cha miezi minne iliyopita,homa ya Ebola imesababisha zaidi ya vifo 160 miongoni mwa wagonjwa 352 katika jimbo la Kasai.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com