1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kings Metal: Samani za chuma kwa utunzaji mazingira

Iddi Ssessanga
27 Novemba 2018

Kings Metal Workshop ni karakana inayotengeneza samani kwa kutumia vyuma ili kusaidia kuhifadhi miti na kutunza mazingira. Veronica Natalis aliitembelea karakana hiyo na kutuandalia vidio hii.Papo kwa Papo 27.11.2018.

https://p.dw.com/p/390dz