1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, vyama vya ushirika Tanzania vimekwendea wapi?

Sudi Mnette
4 Julai 2018

Katika wakati fulani wa historia yake, Tanzania iliwahi kuwa na vyama vikubwa na madhubuti ya ushirika ambavyo sio tu vilisaidia kuuchangia uchumi wa taifa bali pia kujenga misingi ya uwajibikaji na ujamaa na kujitegemea, siasa iliyoanzishwa na Mwalimu Julius Nyerere. Lakini vyama hivi vimekwenda wapi sasa na vina jukumu gani kijamii? Sudi Mnette anazungumza na Pius Ngeze.

https://p.dw.com/p/30mns