1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio cha watoto wanaorandaranda mitaani Nairobi

Thelma Mwadzaya11 Mei 2021

Makala ya Mbiu ya Mnyonge safari hii inapaza sauti za watoto wasiokuwa na makao maalum. Wamebakia kurandaranda mitaani jijini Nairobi. Je vilio vyao vinasikizwa? Na nani? Anayewajali hasa katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 ni nani?

https://p.dw.com/p/3tFHD