Kilio cha wachimba migodi wadogowadogo Shinyanga | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 21.01.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kilio cha wachimba migodi wadogowadogo Shinyanga

Wachimbaji wadogo wadogo wa madini ya Almasi mkoani Shinyanga nchini Tanzania, wanalalamika kudhulumiwa na wanunuzi wa madini hayo kutokana na wao kutokuwa na uelewa wa bei ya madini hayo.

Tazama vidio 02:25