Kilio cha upinzani nchini Tanzania | Media Center | DW | 17.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kilio cha upinzani nchini Tanzania

Baada ya hekaheka za uchaguzi mkuu nchini Tanzania ulioshuhudia wimbi jipya la mabadiliko ya kisiasa. Chama tawala CCM kinajinasibu kwamba kimeibuka na ushindi wa kishindo ingwa upinzani na wadau wengine wanakosoa matokeo hayo wakidai kwamba uchaguzi ulitawaliwa na mizengwe mingi. Makala ya mbiu ya mnyonge hii leo inuangazia upinzani na kilio chao cha baada ya uchaguzi huo. Sikiliza.

Sikiliza sauti 09:45