1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio cha baadhi ya wakaazi wa Kigali kuhamishwa kwa lazima

Khelef Mohammed Mohammed10 Januari 2020

Makala ya Mbiu ya Mnyonge safari hii inawaangazia baadhi ya wakaazi wa mitaa ya mabanda katika mji mkuu wa Kigali wote wakiwa na kilio kimoja: Ukosefu wa uadilifu na kutotendewa haki na mamlaka zinazowahamisha kwa nguvu bila kuwalipa fidia inayostahiki. Msimulizi ni Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/3VzVO