1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijue chakula cha asili cha Jamhuri ya Afrika ya Kati

Amida Issa28 Januari 2021

Ukitembe mji mkuu wa Bangui chakula utakachokutana nacho ni pamoja na mihogo, wali, maboga na ndizi na nyama iliyochomwa. Bamia au gombo ni mboga maarufu. Karanga na siagi ya karanga pia hutumiwa sana. Andamana na Amida Issa kwa zaidi.

https://p.dw.com/p/3oWdy