1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijiji cha magwiji wa kesho wa teknolojia Kenya

23 Septemba 2022

Nelly Cheboi mwenye umri wa miaka 29, mtaalamu wa kompyuta aliyesomea Marekani anawafunza watoto na vijana wa Kenya ili wawe mabingwa wa siku za usoni katika masuala ya teknolojia. Cheboi hukarabati kompyuta kuukuu kisha kuziwekea program zinazowafaa watoto kujifunza masuala ya teknolojia. Hebu tizama mengi zaidi kwenye video hii ya #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4HG3x