1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijiji cha Bischofferode baada ya kupoteza mgodi wake miaka 30 iliyopita

Nina Markgraf11 Oktoba 2019

Takribani miezi mitatu baada ya muungano wa Ujerumani, kijiji kidogo cha iliyokuwa Ujerumani Mashariki cha Bischofferode, kilipoteza mgodi wake wa madini na kuwafanya wakazi wengi wa eneo hilo kuishi katika mkwamo. Muungano wa iliyokuwa Ujerumani Mashariki na Magharibi unatimiza miaka 30 huku umma wa wakazi wa kijiji hicho wakiwa bado na malalamiko.Sudi Mnette amekitembelea kijiji hicho.

https://p.dw.com/p/3SRaH