1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijana mtumza mbwa Arusha

Sudi Mnette
14 Agosti 2017

Mwanaharakati wa haki za wanyama Ismael Ole Mungaya anafanya kazi ya kuwatafuta mbwa wazururaji, wagonjwa na kuwapa tiba na kuwapa makazi salama kwa lengo la kuwapa thamani wanyama hao. Zaidi tazama vidio ya mwandishi Charles Ngereza.

https://p.dw.com/p/2iBoT