1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijana kutoka Kenya ajaribu kutengeneza roboti aina ya mbwa

1 Desemba 2022

Huenda Kenya inaweza kuzindua sampuli ya awali ya roboti aina ya mbwa ikiwa tu itapitisha na iendeleze wazo la mwanafunzi wa miaka 19 ambaye amefanikiwa kutengeneza moja kwa kutumia vifaa vya ndani.

https://p.dw.com/p/4KLBV