Kigoma: Uchaguzi shwari, baadhi wakosa kuona majina kwenye orodha | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Kigoma: Uchaguzi shwari, baadhi wakosa kuona majina kwenye orodha

DW imetembelea maeneo mbalimbali katika mkoa wa Kigoma Tanzania Magharibi na kushuhudia utulivu na ukimya wa aina yake huku kila mtu kwa kufuata taratibu akiwasili kituoni na kupiga kura kabla ya kurejea nyumbani.

Sikiliza sauti 02:34

Sikiliza ripoti ya Prosper Kwigize kutoka Kigoma

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com