KIGALI:Ufaransa kushawishiwa kumrejesha Mnyarwanda wanayemzuia | Habari za Ulimwengu | DW | 19.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KIGALI:Ufaransa kushawishiwa kumrejesha Mnyarwanda wanayemzuia

Nchi ya Rwanda inatoa wito kwa Ufaransa kumrejesha nyumbani raia mmoja wa Rwanda anayesakwa na mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita kwa ajili ya Rwanada ICTR kwa madai ya kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 94.

Rwanda inatoa wito kwa Ufaransa kumrejesha Dominique Ntawukuriryayo aliyekuwa kiongozi wa eneo la kusini mwa Gisagara wakati wa mauaji hayo.Mshukiwa huyo anazuiliwa na polisi wa Ufaransa baada ya kukamatwa kuisni mwa Ufarabsa katika eneo la Carcassonne.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com