1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Kifo cha mwimbaji wa Jagwa Music

Sudi Mnette
14 Desemba 2018

Katika kipindi cha karibuni cha 15.12.2018 pamoja na mambo mengine utaweza kusikia kuhusu kifo cha mwimbaji wa kundi la maarufu duniani la mchiriku la Dar es Salaam Tanzania Jagwa Music, Jackie Kazimoto, uzindunzi wa albam ya Gitaa Baridi ya Jhikoman mjini Bagamoyo pamoja na safu ya je umeipata hiyo.

https://p.dw.com/p/3A8ek