Kifo cha Maradona chausikitisha ulimwengu wa soka | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kifo cha Maradona chausikitisha ulimwengu wa soka

Kipindi cha Karibuni kinaanza kwa kuangazia majonzi makubwa miongoni mwa wapenzi wa soka duniani kote kutokana na kifo cha nguli wa soka raia wa Argentina Diego Maradona. Vilevile katika Kiswahili Kina Wenyewe utasikia "Nafasi ya Kiswahili kwenye utamaduni wa Waswahili

Sikiliza sauti 30:10