Kiambatisho 01 – Utangulizi: Jinsi ya kutumia kitabu hiki (Fungu 1) | Deutsch - warum nicht? - Teil 1 | DW | 18.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Deutsch - warum nicht? - Teil 1

Kiambatisho 01 – Utangulizi: Jinsi ya kutumia kitabu hiki (Fungu 1)

Hapa utapata maelezo ya jinsi ya kutumia ipasavyo yale yaliyomo katika kozi hii ni ya , ramani ya nchi ambazo Kijerumani kinazungumzwa na taarifa kuhusu alfabeti za Kijerumani. Pia zimejumuishwa takwimu mahsusi kama vile orodha ya sarafu za Ujerumani, Austria na Uswisi.

Vilivyopakuliwa