1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Khadija Jabir nyota ya Tanzania

Sudi Mnette
9 Novemba 2018

Msikilize mjasiliamali wa Tanzania, Khadija Jabir ambae amefanikisha ajira 42 rasmi kwa wenzake Tanzania pamoja na kutoa ajira zisizo rasmi 200 kila wiki kupitia mradi wake wa kilimo. Zaidi sikiliza kipindi cha Karibuni 10.11.2018.

https://p.dw.com/p/37x6A