1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kesi ya kukamatwa kwa Mbowe yasikilizwa

30 Agosti 2021

Mahakama kuu ya Tanzania imesikiliza kesi ya kikatiba iliowasilishwa na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema Freeman Mbowe, anamodai ukiukwaji wa katiba na sheria wakati wa kukamatwa kwake huko mkoani Mwanza mwezi uliopita.Isikilize ripoti yake Hawa Bihoga.

https://p.dw.com/p/3zgwg