1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kesi dhidi ya mswada wa vyama vya siasa Tanzania yatupwa nje

Carolyne Robi Tsuma14 Januari 2019

Mahakama Kuu ya Tanzania hivi leo imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na viongozi wa upinzani kutaka kuzuwia kuwasilishwa kwa Mswada wa Vyama vya Siasa bungeni, wakidai kuwa mswada huo unakiuka katiba ya nchi na kwamba ni hatari kwa uhai wa demokrasia ya vyama vingi na utawala wa sheria.

https://p.dw.com/p/3BVcc

Caro Robi amezungumza na mmoja wa viongozi hao wa upinzani waliofunguwa shauri hilo mahakamani, Zitto Kabwe wa chama cha ACT-Wazalendo, na kwanza amemuuliza uamuzi huo wa mahakama unamaanisha nini kwao?