1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenyatta ampigia upatu Odinga kumrithi 2022

12 Agosti 2021

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewataka viongozi wa muungano wa kisiasa wa OKA-One Kenya Alliance- kumuunga mkono kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2022 akisema Raila ana umaarufu mkubwa wa kisiasa kuliko wagombea wengine. Kwanini Rais Kenyatta anampigia upatu Raila kama mrithi wake? Babu Abdalla amezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya Martin Oloo.

https://p.dw.com/p/3yspq