1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenyatta ahimiza amani mzozo wa DRC, SUK mashakani Zanzibar, Ruto ajitenga na uondoaji ukomo wa mihula

Iddi Ssessanga
18 Novemba 2022

Katika makala ya Afrika Wiki Hii, miongoni mwa mengi ni pamoja juhudi za kutatuta mzozo wa kijeshi mashariki mwa Congo ambapo mjumbe maalumu wa EAC Uhuru Kenyatta amewahimiza waasi wa M23 kuweka chini silaha, rais wa Kenya William Ruto asema kamwe hatokubali katiba "ikeketwe" kwa malengo binafasi, serikali ya Umoja wa Kitafa Zanzibar mashakani, na msaada wawasili Tigray.

https://p.dw.com/p/4Jl3j