1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yapata katiba mpya

Josephat Nyiro Charo5 Agosti 2010

Rais Mwai Kibaki amepongeza jinsi zoezi la kuipigia kura katiba lilivyofanyika. Ni mwanza mpya kwa Kenya

https://p.dw.com/p/OdBW
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, na waziri mkuu Raila OdingaPicha: AP

Wakenya wamepiga kura kuunga mkono rasimu ya katiba mpya, baada ya kura ya maoni hapo jana. Matokeo hayo yanaipa ushindi kuara ya NDIO wa asili mia 67. Viongozi wa kambi iliyokuwa ikiipinga katiba hiyo mpya wameyakubali matokeo wakisema watashirikiana na wakenya wote kwa kuwa wengi wameamua.