Kenya yakataa kuwaongezea ulinzi majaji wa Mahakama ya Juu | Media Center | DW | 01.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kenya yakataa kuwaongezea ulinzi majaji wa Mahakama ya Juu

Siku chache baada ya uchaguzi mpya wa uraisi nchini Kenya, serikali ya nchi hiyo yakataa kuwaongezea ulinzi majaji wa Mahakama ya Juu wanaohofia maisha yao baada ya dereva wao kupigwa risasi na maelfu wajitokeza mitaani jijini New York, Marekani, kusherehekea Halloween licha ya mashambulizi kuuwa watu wanane hapo jana. Yote na mengine ni kwenye Papo kwa Papo leo tarehe 1 Novemba 2017

Tazama vidio 01:50
Sasa moja kwa moja
dakika (0)