Kenya yakariri msimamo wa kuzifunga kambi za wakimbizi | Matukio ya Afrika | DW | 23.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kenya yakariri msimamo wa kuzifunga kambi za wakimbizi

Serikali ya Kenya imekariri msimamo wake wa kuzifunga kambi za wakimbizi kutokana na hofu ya usalama wa kitaifa. Katika kikao cha kukusanya maoni ya umma kinachoendeshwa na kamati ya Bunge, serikali imesema tayari wakimbizi laki tatu wamerejea makwao.

Sikiliza sauti 02:38