1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Wengi wachangia damu kusaidia majeruhi

Lilian Mtono
17 Januari 2019

Wakaazi jijini Kisumu wamejitokeza kuchangia damu, kufuatia wito uliotolewa na shirika la msalaba mwekundu nchini Kenya ili kuziba pengo la upungufu wa damu ulioshuhudiwa katika hospitali mbali mbali baada ya kuwasilishwa majeruhi wa shambulio la kigaidi jijini Nairobi mapema wiki hii.

https://p.dw.com/p/3Bj9V