Kenya: Sheikh Mohamed Dor afikishwa mahakamani Mombasa | Matukio ya Afrika | DW | 18.10.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kenya: Sheikh Mohamed Dor afikishwa mahakamani Mombasa

Nchini Kenya, mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni katibu mkuu wa Baraza la maimamu nchini Kenya Sheikh Mohamed Dor amefikishwa mahakamani mjini Mobasa leo akishtakiwa kwa uchochezi.

Ramani ya Kenya

Ramani ya Kenya

Dor ambaye alikamatwa hapo haja mjini Nairobi, alisafirishwa jana jioni chini ya ulinzi wa maafisa wa Polisi hadi mji huo wa Bandari kujibu mashtaka hayo. Mwandishi wetu mjini Mombasa Eric Ponda ana taarifa kamili.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Eric Ponda

Mhariri:Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada