Kenya: ODM hatarini kusambaratika | Matukio ya Afrika | DW | 12.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kenya: ODM hatarini kusambaratika

Chama kikuu cha upinzani Kenya, Orange Democratic Movement, kiko kwenye hatari ya kugawanyika, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu. Mchambuzi Chacha Nyaigotti azungumzia viongozi wanaokikimbia chama.

Sikiliza sauti 03:05

Mahojiano na Chacha Nyaigotti kutoka Kenya

Sauti na Vidio Kuhusu Mada