1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Naibu waziri wa mifugo aondolewa katika wadhifa wake

13 Septemba 2012

Naibu Waziri katika wizara ya mifugo nchini Kenya ambaye pia ni Mbunge katika eneo la Tana Tiver, Dhadho Godhana ameondolewa katika wadhifa wake.

https://p.dw.com/p/1680L
Nyumba iliochomwa moto katika eneo la Tana River Delta
Nyumba iliochomwa moto katika eneo la Tana River DeltaPicha: Reuters

Hatua hiyo imekuja baada ya naibu huyo waziri kupandishwa kizimbani kutokana na tuhuma za kutoa kauli za uchochezi .

Sudi Mnette alizungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya, Yusuf Aboubakar ambaye kwanza anaelezea kufukuzwa kazi kwa waziri huyo kunaashiria nini?

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Abdul-Rahman