Kenya: Musalia Mudavadi atakiwa ajiuzulu kutoka wadhifa wa Naibu Waziri Mkuu | Matukio ya Afrika | DW | 03.05.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kenya: Musalia Mudavadi atakiwa ajiuzulu kutoka wadhifa wa Naibu Waziri Mkuu

Siku moja baada ya Musalia Mudavadi kujiuzulu kama Waziri wa serikali za Mitaa nchini Kenya,na kutangaza kujiondoa katika Chama cha ODM, chama hicho kimemtaka mbunge huyo ajiuzulu kutoka wadhifa wa Naibu Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu Raila Odinga anamtakia kila la kheri Musalia Mudavadi kwa uamuzi wake

Waziri Mkuu Raila Odinga anamtakia kila la kheri Musalia Mudavadi kwa uamuzi wake

Mudavadi alitangaza jana kujiunga na chama kipya cha UDF na wabunge wa ODM wamemtaka ajiuzulu pia wadhifa wa Naibu waziri mkuu wakisema ni chama cha ODM kilichompa nafasi hiyo.

Mwandishi wetu wa mjini Nairobi Alfred Kiti ana ripoti kamili

Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada