Kenya: Mtu mmoja afariki kufuatia shambulio la Gruneti mjini Mombasa | Matukio ya Afrika | DW | 16.05.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kenya: Mtu mmoja afariki kufuatia shambulio la Gruneti mjini Mombasa

Nchini Kenya mtu mmoja amefariki na kujeruhiwa kufuatia shambulio la Gruneti mjini Mombasa.

Shambulio la Gruneti mjini Mombasa

Shambulio la Gruneti mjini Mombasa

Shambulio hili linatokea wiki chache tu baada ya shambulio jengine lililoelekezwa kanisani Jijini Nairobi. Maafisa wa Polisi bado wanaendelea na uchunguzi ingawa tayari kidole kinaelekezewa kundi la kigaidi la Wapiganaji wa Al Shabaab nchini Somalia.

Mwandishi wetu Eric Ponda na Taarifa zaidi kutoka Mombasa.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Eric Ponda

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada