1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya kutoa chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi

Grace Kabogo
25 Februari 2019

Umeshawahi kusikia kuhusu chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi? Kenya itaanza mpango wa kutoa chanjo hiyo ifikapo mwezi Mei, 2019.

https://p.dw.com/p/3E3Jy

Chanjo hiyo itatolewa kwa wasichana wenye chini ya umri wa miaka 14 na ambao hawajaanza kushiriki tendo la ndoa.

Katika eneo la Afrika Mashariki, Tanzania ilianza kutoa chanjo hiyo Aprili, 2018, huku Rwanda kwa upande wake ikilifanikisha hilo tangu mwaka 2011.

Mengi zaidi kuhusu mpango huo na jinsi utakavyotekelezwa, ungana na Thelma Mwadzaya katika makala ya Afya Yako.