Kenya kukumbwa na mgogoro wa mabenki? | Matukio ya Afrika | DW | 08.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kenya kukumbwa na mgogoro wa mabenki?

Mabenki matatu yameanguka nchini Kenya katika muda wa miezi tisa. Mawili ambayo ni Imperial na Chase yamechukuliwa na Benki Kuu ya Kenya, CBK. Mchambuzi aeleza nini kitatokea kwa amana za wateja.

Sikiliza sauti 03:03

James Shikwati katika mahojiano na Abdu Mtullya

DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya kiuchumi na kisiasa James Shikwati kutoka Kenya.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada