Kenya: Kesi ya matokeo ya uchaguzi yaanza leo rasmi | Matukio ya Afrika | DW | 27.03.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kenya: Kesi ya matokeo ya uchaguzi yaanza leo rasmi

Kesi ya kupinga kuchaguliwa kwa Uhuru Kenyatta kuwa Rais wa 4 wa Jamhuri ya Kenya kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 4 mwezi Machi imeanza rasmi leo (27.03.2013) katika mahakama ya juu mjini Nairobi.

Raila Odinga

Raila Odinga

Kesi hiyo iliwasilishwa na mawakili wa muungano wa CORD siku saba baada ya Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC kumtangaza Uhuru Kenyatta kuwa Mshindi wa kura ya urais na kumshinda mpinzani wake Raila Amollo Odinga.

Mwandishi wetu Alfred Kiti na taafifa kamili na kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri:Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada