Kenia: Mkutano kuhusu kura ya Maoni nchini Sudan | Matukio ya Kisiasa | DW | 05.01.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Kenia: Mkutano kuhusu kura ya Maoni nchini Sudan

Raia wa Sudan ya Kusini wajiandaa na kura ya maoni.

default

Rais Omar al-Bashir, wa Sudan akiwahutubia mawaziri huko Juba,Sudan ya Kusini siku chache kabla ya kura ya maoni

Zikiwa zimebaki siku tatu kwa raia wa Sudan ya kusini kupiga kura ya maoni kuamua iwapo eneo hilo litajitenga na Sudan ya kaskazini ama la, Kenya imekuwa ikijiandaa kwa kila hali kukabiliana na matokeo ya kura hiyo.

Mwandishi wetu kutoka Nairobi Alfredy Kiti ametutumia taarifa zaidi kutoka Nairobi.

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Josephat Charo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com