1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kauli za Rais Magufuli zazua mjadala Tanzania

Mohammed Abdulrahman
17 Januari 2017

Katika Kinagaubaga wiki hii Mohammed Abdulrahman amezungumza na Tundu Lissu mbunge wa CHADEMA juu ya mjadala wa hivi karibuni nchini Tanzania kuhusu matamshi ya Rais John Pombe Magufuli juu ya tatizo la njaa akipinga kauli za wanaosema kuna njaa nchini humo na pia matamshi yake ya kuvionya vyombo vya habari ambavyo vinaripoti taarifa alizoziita za uchochezi. Fuatilia mazungumzo hayo.

https://p.dw.com/p/2Vtxe