1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kauli ya Magufuli kuhusu uzazi wa mpango yapingwa

Mohammed Khelef
10 Septemba 2018

Rais John Magufuli wa Tanzania ameibua tena utata kwa kauli yake inayotafautiana na dhana ya uzazi wa mpango, ambayo ni sera ya kitaifa na kimataifa.Msikilize mwanaharakati Maria Sarungi, alivyoipokea kauli hii.

https://p.dw.com/p/34bb1