1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Katika Afrika wiki hii rais Robert Mugabe afariki dunia

Saumu Mwasimba
6 Septemba 2019

Kifo cha Robert Mugabe kimepokelewa kwa hisia mbali mbali tangu kwa viongozi mpaka kwa wananchi wa taifa hilo la Kusini mwa Afrika ingawa barani Afrika viongozi wamemtaja kama ni shujaa atakayekumbukwa kwa mchango wake katika harakati za ukombozi na kulitetea bara la Afrika kupitia mikutano mikuu ya kimataifa,ikiwemo hadhara kuu ya UN-Ungana na Saumu Mwasimba kusikiliza Afrika wiki hii

https://p.dw.com/p/3PBWY
Bildergalerie Robert Mugabe Simbabwe Afrika
Picha: picture-alliance/dpa/R. Cooper