Karzai aomba jumuia ya kimataifa kusaidia kuhusu wataliban | Habari za Ulimwengu | DW | 21.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Karzai aomba jumuia ya kimataifa kusaidia kuhusu wataliban

KABUL:

Rais wa Afghanistan-Hamid Karzai, amesema kuwa ukarabati wa nchi yake, kwa uchache, utachukua mda wa miaka mingine 10. Katika mahojiano na gazeti la ujerumani,Karzai ametilia mkazo umuhimu wa kuwepo nchini mwake kwa jeshi la Ujerumani kwa lengo la kurejesha utulivu nchini humo. Aidha ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua dhidi ya waTaliban pamoja na maficho ya magaidi yaliyoko nje ya nchi hiyo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com