Karume atoa ufafanuzi wa kisheria ubunge wa Lissu | Matukio ya Afrika | DW | 22.01.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Karume atoa ufafanuzi wa kisheria ubunge wa Lissu

Suala la Tundu Lissu kutorejea bungeni hadi sasa lachukua sura mpya baada ya mbunge huyo kudai kuwa kuna mpango wa kumvua ubunge wake. Zainab Aziz anazungumza na wakili Fatma Karume rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika kuhusu msingi wa kumvua mwakilishi yeyote ubunge wake?

Sikiliza sauti 02:48