Karibuni Wiki hii | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Karibuni Wiki hii

Katika kipindi cha Karibuni Sudi Mnette anakutambulishia mwanamuziki kutoka Tanzania Silas Hesbon. Kwenye sehemu ya Je Umeipata hiyo, utasikia namna ambavyo Korea Kaskazini inawashirikisha polisi katika kupambana na virusi vya corona. Utamjua pia nani msikilizaji wetu wa mwezi

Sikiliza sauti 30:08