1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipindi cha Karibuni pia kinakupa burudani kemkem

Saumu Mwasimba
11 Oktoba 2019

Watangazaji maahiri wa DW kutoka idhaa mbali mbali za kiafrika wamekita kambi katika miji mbali mbali ya mipakani huko Mashariki mwa Ujerumani kutujuza mengi kuhusu maisha na kumbukumbu za watu wa huko kabla na baada ya ukuta wa Berlin kuangushwa. Kipindi cha Karibuni pia kinakupa burudani kemkem.

https://p.dw.com/p/3R93v