Karatasi za kupigia kura zatarajiwa kuwasili Visiwani Zanzibar | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.10.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Karatasi za kupigia kura zatarajiwa kuwasili Visiwani Zanzibar

Tunaanzia huko nchini Tanzania ambapo homa ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa wiki hii inazidi kupanda na kwa upande wa visiwani Zanzibar.

default

Uchaguzi Tanzania wakaribia

Maandalizi yanashika kasi ambako karatasi za kupigia kura zinatarajiwa kuwasili visiwani humo muda wowote kuanzia hivi sasa, kama anavyotuarifu zaidi mwandishi wetu wa huko, Salma Said:

Mtayarishaji: Salma Said

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri:Miraji Othman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com