Kapteni Leah Kihara: mkufunzi wa kike wa urubani Kenya | Media Center | DW | 06.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kapteni Leah Kihara: mkufunzi wa kike wa urubani Kenya

Kutana na rubani wa kike ambaye tokea umri mdogo aliipenda kazi hiyo. Na sasa anajaribu kubadilisha mawazo ya watu nchini Kenya, juu ya marubani wanawake. Kapteni Leah Kihara mwenye umri wa miaka 35 amesharusha ndege angani kwa zaidi ya masaa 4,000. Ni kazi anyoipenda.

Tazama vidio 01:24