1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kansela Scholz azungumzia ziara yake Afrika

25 Mei 2022

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amemaliza ziara yake barani Afrika hivi karibuni. Lakini alipohitimisha alipata nafasi ya kuzungumza na DW kwenye mahojiano maalumu. Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Scholz kuzuru Afrika tangu alipoingia madarakani. Hii ni sehemu tu ya mahojiano hayo.

https://p.dw.com/p/4BrgX