Kanisa la Anglikana Kenya kuwakwepa wanasiasa misibani | Matukio ya Afrika | DW | 12.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kanisa la Anglikana Kenya kuwakwepa wanasiasa misibani

Kanisa la Kiangalikana nchini Kenya katika jimbo la Magharibi limepiga marufuku mazishi kuandaliwa katika siku za wikendi. Askofu mkuu wa kanisa hilo Joseph Wandera amesema kuwa dayosisi yake itakuwa inaongoza shughuli za mazishi kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa katika makanisa yake yote. Lengo ni kuwakwepa wanasiasa. Sikiliza zaidi ripoti ya Shisia Wasilwa

Sikiliza sauti 02:34